Makiwendo
JF-Expert Member
- Aug 12, 2015
- 10,031
- 34,667
Umeona anavyonionea
Ni nini lakini kunichekesha namna hii..






Haupo peke yako mdogo wangu..Umeona anavyonionea
Mtoto mdogo sijui movie ya kifilipino hata moja
Sent using Jamii Forums mobile app
Hayo madude mwachie huyo mtoto, bado ana muda mwingi wa kupoteza.
Hayo madude mwachie huyo mtoto, bado ana muda mwingi wa kupoteza.





Ngoja aje...Hiyo sifuti hadi ameiona.
SHIMBA YA BUYENZE hebu wahi.
Ngoja aje...
Wapi huko? Nikumbushe..Habari za huko kwenye baridi?
Wapi huko? Nikumbushe..
Ha ha ha..Si kaskazini
Ha ha ha..
Kuna mahali umefukua makaburi wewe..
Huko ni nyumbani.. nipo mjini huku..
Ha ha ha...NdiyoooHahaha..
Migombani ..! Milimani