Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,493
Disney wao ni wasambazaji tu na si watengenezaji..warner bross wao ni watengenezaji na wasambazaji wa DC.
Baada ya kuanzisha tu marvel studio basi wameanza kupiga hela mno.
Dc inabidi wajiangalie wapi wanakosea.
imagine batman kila muda inafanyiwa reboot..toka mwams 70s huko.
nilijua ben afleck ndio atakua perfect match kwa batman nae wamemtoa. Henry cavil nae sijui kama atakuja dc au ndio imetoka naona wao hawana character development
Kama marvel ni utoto wacha tu niwe mtoto nafurahi mno muvi zao.
Btw wazungu hua hawajali sana pesa kwenye muvi. Huangalia critics zaidi..Luckily marvel kuna full postive critics na pesa kibao wanaingiza.
Mm mpaka leo naangalia sofia the first au teenage mutant ninja turtle
View attachment 1525423View attachment 1525424
Oohh kumbe Disney ni wasambazaji tu hapo sawa, maana nilisikia 2006 waliinunua Marvel baada ya kufilisika kisha ndiyo Kevin Feige akaingia.
Kwa kweli DC inabidi wajiangalie wanakosea wapi, halafu hata The Flash naona imechezwa na actors kadhaa though mie namjua huyo Ezra Miller tu.
Haha mwenyewe kama Marvel ni utoto basi acha niwe mtoto tu, tena mie huwa nafall in love hadi na zile stunts wanazofanya na namna wanavyopigana.
Daah Stan Lee masikini alishajifia mzee wa watu lakini Marvel bado hawajaacha kumpa heshima yake, he is a genius kwa kweli acha akumbukwe tu.

















