Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

ZENlQGJdcQ.jpg
 
Kweli wanafana muonekano wa sura ni kama Joseph sikola,Eminem na Wentworth miller.
Natamani marvel wangemchukua aseee, bahati mbaya Aquaman haiwezi kua na crossover to avanger. Bora angekua hata X men tungeweza kumpata marvel
Hope jason ni crush wako

Yaani umewaza kama mimi katika characters wa DC ambao natamani Marvel wangewawahi ni Aquaman na Superman, na kidogo The Flash na Cyborg labda ila wengine sawa tu.

Uwii Jason Momoa siyo crush wangu wala, nilishamchukia kwenye Game Of Thrones alivyoigizaga katili sijui tu kwanini ila kwa DC crush wangu ni Superman.

Kwa Marvel obviously ni Captain America, halafu yule kaka hana mke wala mtoto aise.

Halafu sijui kwanini Ghost Rider na X Men siyo part of The Avengers, wakati nao ni Marvel.
 
Back
Top Bottom