Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,494
Nilikuambia usifute unaona sasa
Nilijua tu lazima shimba atakuja kulalamika
Tatizo SHIMBA YA BUYENZE nawe mchoyo sana wa picha zako acha upitwe tu








Usimuone huruma huyu.. ana mambo yake hivi namuhifadhi tu hapa...Jamani msimfanyie hivo mwenzenudaah
Inabidi ujue hivyohivyo ili wengine tuwe tunajifunza kwako![]()
sawa mama, mie kuanzia leo itanibidi niwe najifanya sijui kitu chochote kabisa.
Ssshhiiiiiiiii kaushaSuper tall, u r Genttleman
Sio wa kuonea huruma kabisa huyo.Usimuone huruma huyu.. ana mambo yake hivi namuhifadhi tu hapa...
Anajikuta Bwana Afya na Matunda yake..Sio wa kuonea huruma kabisa huyo.
Ale matunda yake kwa kutulia kabisa hata asitutingishe.Anajikuta Bwana Afya na Matunda yake..
Usimuone huruma huyu.. ana mambo yake hivi namuhifadhi tu hapa...


nakuomba umsameheAle matunda yake kwa kutulia kabisa hata asitutingishe.








hawamuogopi bali ni special caseTulimuomba picha akachukua yangu juu huko akaipost tena...kuwawekea picha za matunda au nini tena