Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,493
Namsubiri Saint Anne aje akuambie umejiziba sana toa hiyo emoji



Unaendeleaje?

Mgonjwa hujambo? Mi niko poa kabisa!


Kuna mtu sitaki anione! Yule coca ya stick















Hiyo emoji inamanisha nini?
Alishaondoka.Kuna mtu sitaki anione! Yule coca ya stick![]()
Bless you Rasta.
Bas una kumbukumbu nzuri sana kama unamkumbuka mkono wa baunsaYeah bado naikumbuka
Ukweli kabisa mkuu
Nasubiri unilipe picha ile ya Jana.Bas una kumbukumbu nzuri sana kama unamkumbuka mkono wa baunsa
Halafu maneno mengi selfika tukuone na ww![]()














