T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 13,088
- 30,487
Vidole vya mkoani hivi mkuu[emoji23]Uxijariiiiiih [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Vidole vya mkoani hivi mkuu[emoji23]Uxijariiiiiih [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Relaaaaaax ts JF, don't take seriousAiseee!![emoji23][emoji23]
We jamaa bhana[emoji23][emoji23]
Vipi maadam, sorry usichukulie seriousAiseeeh!!
Nilikuwa najipikilisha. Naona nimechelewa. Sina bahati na wewe. Ai givapu [emoji24][emoji24][emoji24][emoji1545]Ipi hiyo? Halafu hii haikuhusu, ni ya shimba
Nimeikosa mkuu dah !!!Teh!!shimba umemuwekea kivuli ana matatizo ya kutokuona karibu umemutesa tu
PM kwa mabinti kujichoresha tu. Nyie mna watu wenu humu tayari bana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]Amu vere siriazi. We pm si ulinichunia[emoji57]
Hii miguu kama naifananisha sehemu! [emoji41][emoji41]
Ukiiona tena nishtue 😏😏Hii miguu kama naifananisha sehemu! [emoji41][emoji41]
Kumbe kwenye avatar yako! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Ukiiona tena nishtue [emoji57][emoji57]
Endelea kusubiri nipandishe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwa natest mitambo nione kama napendeza
Sent using Jamii Forums mobile app
Hilo sahau kabisa marvel na dc kutengeneza muvi moja.
Dc ni ulimwengu tofauti na marvel ni ulimwengu tofauti. Lakini hata hivyo marvel tuna character wengiiiiiii mno wazuri sana hatumuhitaji Ghost rider abaki huko huko hata Zile muvi za Wisley snipes za vimpire zinatoka marvel. Ila hatumtaki.
DC na marvel hawawezi tengeneza movie moja ni sawa Mondi na kiba kufanya Kolabo. Dc mimi naona hua hawako serious sana kama marvel hata hivyo DC movies imshukuru sana Zack snyder kajitahidi kuweka kwenye reli.
Nilisahau kitu..
Ryan Reynolds alicgeza X Men, akacheza as Deadpool marvel kacheza pia kama Greena Lantern DC
@Zoë
🤣🤣🤣Kumbe kwenye avatar yako! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Hapana sijazichana.
Nina kope ndefu sana.
We kazi yako kulaghai watu tu waweke mara wasifute sana[emoji16][emoji16]
Yakwako ikowapi
Shingo mviringo, I made the right choice!! Mtoto mtam hatari wewe...
Bora mkuu wangu umenisaidia
Ila ile comment yako hadi kesho siisahau mkuu