GeoMex
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 5,431
- 20,060
NVG 😄😄😄
Onyesha sura twende jino kwa jino sidaiwi na mtu yeyote.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]jamani[emoji850]
Niongeze picha ya mwisho nilale
Sent using Jamii Forums mobile app
Saa nane na nusu ntakuombea.Ntakuombea uzima na afya pesa kitu gani inatafutwa tu.
Uzima na afya pamoja na pesa.Saa nane na nusu ntakuombea.Ntakuombea uzima na afya pesa kitu gani inatafutwa tu.
Tufwate ule mtiririko wetu.Onyesha sura twende jino kwa jino sidaiwi na mtu yeyote.
Tobaa[emoji23][emoji23]NVG [emoji1][emoji1][emoji1]
Pesa aiombwi inaibwa au kutafutwa kinachoombwa ni uzima na afya RastaUzima na afya pamoja na pesa.
Maisha bila pesa ni magumu kaka angu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Inaombwa piaPesa aiombwi inaibwa au kutafutwa kinachoombwa ni uzima na afya Rasta
Mwenye picha amekuruhusu uitume humu ?
Bado tena umejiziba[emoji17]View attachment 1525458
cocastic Ukiamka ona hii post! Usisahau kumshushua tyu! [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
Sijawahi kumuomba mungu pesa akanipa,mungu namuombaga afya na uzima na nikimuomba pesa hanipagi.
Siyo yangu.
Toa mkono