Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Walaa mie hayo madude yenu siyawezagi.

Hauyawezi wakati wewe unawaelewa kina The Flash na Supergirl? Wote hao ni DC wazee wa series!

Batman, Superman, Batwoman, Supergirl, The Flash, Wonderwoman, Aquaman, Catwoman sijui kina Cyborg na Green Lantern wote hao ni DC characters so kama unawaelewa hao wewe ni DC fan.
 
Kauzi ketu kapooo...nimewamis sana nyie waremboo

Jael
 
Hauyawezi wakati wewe unawaelewa kina The Flash na Supergirl? Wote hao ni DC wazee wa series!

Batman, Superman, Batwoman, Supergirl, The Flash, Wonderwoman, Aquaman, Catwoman sijui kina Cyborg na Green Lantern wote hao ni DC characters so kama unawaelewa hao wewe ni DC fan.
Hakuna hata moja hapo nijualo mie.
 
Back
Top Bottom