PM kwa mabinti kujichoresha tu. Nyie mna watu wenu humu tayari bana![]()
Beberu mwitu...
Umeona miguu tu! Yenyewe nilishaifuta!!



AaaaahUmeona miguu tu! Yenyewe nilishaifuta!!![]()



tabia mbaya lolSi umeshaamka! Nimeifuta!

Kumbe hunipend lol,Si umeshaamka! Nimeifuta!![]()




Yes ila walisha divorce wakazaa mtoto mmoja.
Ndio maana mm napenda muvi za cap kiasi fulani zina uhalisia..ila ukiangalia man of steel super man anapigwa na chuma cha reli hatoki hata nundu
Marvel wapo vizuri sana stori zao na muvi ziko poa mno
Mshindani wa sasa pekee wa marvel ulimwenguni ni Disney tu.
Ryan Reynolds ni hendisamu pia mbona hamcrush kwake.?
sema hua natamani sana ningekua kama captain america au jon snow(sio chriss evans
Ameen
Hahahhaaa dahhh bado tu unaikumbuka???
Tunapunguza stress kidogo si unajua tena
Beberu mwitu...