Jomoneeeeeh weeeh hulali?Nipo kusubiri
Wee hapo uwekeeehMuda ndio huu tupieni picha za Furahi day
HahahahaWee hapo uwekeeeh
Ndyo nkuoneeehHahahaha
Hahahaha, ili ugundue nn ,kuwa na subiraNdyo nkuoneeeh
Yaaan hyo pic mmmh sjui km itawekwa kwa kweli, maan lolHahahaha, ili ugundue nn ,kuwa na subira
Nilale nikose uhondo wa picha..!!..Nani kasemaJomoneeeeeh weeeh hulali?
Wanaume wa Dar hao mkuu. Wanatumia sabuni na lotion maalum. Sisi huku Misungwi kwenye mashamba ya nyanya mikono na vidole vya kazi aisee vimekunjamana hatari. Maisha !!!
View attachment 1509324
Chakula kama hiki ndiyo unakula halafu unakwenda kulala au ukifika home unakuta kuna chakula kamili i.e. ugali ama? Watu mna matani kweli aisee



Unanitisha
Usiogope, ngoja nikutumie nyingine.Unanitisha
Na sitishiki ng'ooUsiogope, ngoja nikutumie nyingine.