Haiwezekani, ndiyo maana nimekupenda bibie.Tanteeeeeeeeeeeh huhuhuhuh na weeee kuwa na furaha muda wote.
Haiwezekani, ndiyo maana nimekupenda bibie.Tanteeeeeeeeeeeh huhuhuhuh na weeee kuwa na furaha muda wote.
Naam,ndiyeJurjani ndiyo Ostaadh Zurri?
Aise....Tanteeeeeeeeeeeh huhuhuhuh na weeee kuwa na furaha muda wote.
Njoo soko la mamba nanunua ndiziWachaga Heshima kwenu niko marangu muda huu natalii..
Hali ya hewa ni rafiki mno pia naona mazingira yako safi miti na migomba kwa wingi...
Bila kusahau nyumba za kisasa...
Hongereni sana...
Bonge la advice
Right now
We ulizia hapo soko lilipo.Ndio wapi? Maana nipo mgeni huku...
Naondoka leo usiku.Ndio nauliza wenyeji wananiambia kutoka hapa nilipo sio mbali sana..
Nikiwa free kama ukiwa huku marangu nitakuona.
Utanikuta kibororoni.Kama utaona inafaa![]()
Tunasubiri yako mkuuWekeni picha za week end Jamani ,tunasubiri
Karibu sana uchagani mkuu, sogea mamba complex, hapo ni nyumbani kabisaWachaga Heshima kwenu niko marangu muda huu natalii..
Hali ya hewa ni rafiki mno pia naona mazingira yako safi miti na migomba kwa wingi...
Bila kusahau nyumba za kisasa...
Hongereni sana...
Usisahau kupitia kwa minja, pale majengo upate kitimoto safiiUtanikuta kibororoni.