The Wolf
JF-Expert Member
- Sep 10, 2013
- 9,445
- 20,809
Hapana mkuu, huko ndipo nilipotokeaUpo huku kamanda makazi yapo organized mno. Nimepakubali
Hapana mkuu, huko ndipo nilipotokeaUpo huku kamanda makazi yapo organized mno. Nimepakubali
Ahsante.Usisahau kupitia kwa minja, pale majengo upate kitimoto safii
Mombasa highway, hapo pia my home townAhsante.
Nipo himo. View attachment 1510310
Sasa hiki kinapita main road?
Unataka nikupe lift na kwenye hiyo?Sasa hiki kinapita main road?
VepeeeehAise....
Shangaz naomba na mie naomba ndizi uwiiiiiihNjoo soko la mamba nanunua ndizi
Duuuuuuh jamaniii hapana kwa kweli, ngoja nipambane nizamie huko.
Hehehehehe utanifundisha siku 1 ku driveeeh,




Kitimoto kila baada ya nyumba 3
Tena huko kwa wewe ni fasta sana kufika.Duuuuuuh jamaniii hapana kwa kweli, ngoja nipambane nizamie huko.
Ndiyo.Unataka nikupe lift na kwenye hiyo?
Nikikupa GPS uje kufata utafata?Shangaz naomba na mie naomba ndizi uwiiiiiih