Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,785
- 51,527
🤔🤔 Hivi Nina hela kweli!!!...subiri nijichungulie
Hebu jitafute tafute huko..😂😂😂
🤔🤔 Hivi Nina hela kweli!!!...subiri nijichungulie
Wa kiumeni huo, sio wa mlamba lips!Ngoja mpka nitulize akili kwanza
Njoo huku PM uniahidi zawadi utakayonipa kwanzaNtakupa dhawadiiiiiii yeaaah ntumie tyuuuuh.
Anko Juju naomba lift niende shule
Kwani nimebisha jmani🤪🤪🤪Wa kiumeni huo, sio wa mlamba lips!
Nimeliazima tu 🤣. Ni la mshikaji na kanipa masharti...Anko Juju naomba lift niende shule
Nimeshatuliza akili kwa kina kabisa na mguu nao uko vizuriWa kiumeni huo, sio wa mlamba lips!
Hahahah huna tofauti na wanaomsifia mkulu wale...🤣🤣🤣Nimeshatuliza akili kwa kina kabisa na mguu nao uko vizuri
Umefurahi sasa 😂😂😂
View attachment 1507478
No filter, mguu wa kazi!
😂😂😂😂😂😂kwa vyovyote vile lazima maisha yaendelee lakin😂😂Hahahah huna tofauti na wanaomsifia mkulu wale...🤣🤣🤣
Nakuahidi hapa hapa na wengine wasikie, wee sema unatak ipi ila isizidi elf 5 maan sina hela ujue, tumewekeza BOT kukuza uchumi wa kati lolNjoo huku PM uniahidi zawadi utakayonipa kwanza





Hujaacha kuazima tu magari anko J?Nimeliazima tu. Ni la mshikaji na kanipa masharti...


Jombaa wenzako wanawekaga mikono yenye saa kali kali na funguo za ndinga.View attachment 1507478
No filter, mguu wa kazi!
Hapa yna2 ataonaaa natalia iwe siri yetuuNakuahidi hapa hapa na wengine wasikie, wee sema unatak ipi ila isizidi elf 5 maan sina hela ujue, tumewekeza BOT kukuza uchumi wa kati lol![]()
Jombaa wenzako wanawekaga mikono yenye saa kali kali na funguo za ndinga.
We unatuwekea miguu.
Umezingua bwana




🤣🤣🤣🤣🤣Hebu jitafute tafute huko..😂😂😂
Jombaa wenzako wanawekaga mikono yenye saa kali kali na funguo za ndinga.
We unatuwekea miguu.
Umezingua bwana



ila dea wee nae lol, ila kweli ilibidi funguo tena za BMW X5. Uwiiiiiiiih🏃♂️🏃♂️🏃♂️Aiy
Aiyaaaa nishaona