ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 52,470
- 119,120
Hata mimi sijawahi kuona mpare mrefu.
Kwako mtu mrefu ana mita/futi ngapi. Kuwa honest ili tuone nchi hii ni wapare tu ndio wana huo ufupi au hata wajaluo ni wafupi tu kama hao wapare.Hao warefu mmewaficha kuko milimani? Au ndio mrefu kama Mkapa kwakua kawapita wengi huko basi ndio giant?





