ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,095
- 129,086
[emoji23][emoji23][emoji23]ilà sis darling umekuwaje?Kuna siku nilicheka hadi basi. Huyo mpare wako alicomment eti on a first date; dada akija anaruhusiwa tu kunywa kinywaji; hakuna kununuliwa msosi hadi 2nd date (obvious mambo yakishatick). Nikasema shikamoo mpare