MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,449
- 69,282
Mweeeh! hata mimi nimekumiss sana Jael wangu,.......Hii avater niliimiss na wewe nimekumiss.
Mweeeh! hata mimi nimekumiss sana Jael wangu,.......Hii avater niliimiss na wewe nimekumiss.
Akhsante sana mkuuDude, pole sana kaka!
Akhsante sana mkuupole sana mkuu
Ndo vimekurudia sasa.vya kwangu huwa vinamfikia mlengwa moja kwa moja hata kama ana nini vile.....
Akhsante mamy hapa nimetulia naugulia maumivu tu na huu upweke sasa sina hata wa kumudekea(mwanaume hadeki)![]()
Usipotee sana bwana!Mweeeh! hata mimi nimekumiss sana Jael wangu,.......
Mambo yanatokea mengi sana Jael wangu, lakini hatuwezi potea kabisa. Tena mtu kama wewe ndiyo siwezi kukusahau kabisa, lazima ningepita hata kukusalimia kidogoUsipotee sana bwana!
Hapana sikuwa naendesha mimiNdo vimekurudia sasa.
Hebu elezea kwanza, wewe ndio ulikuwa unaendesha au?
Ndo maana nawapendaga manesi.Mungu ni mwemaView attachment 1484967
Eti Eeeeeh!!Ndo maana nawapendaga manesi.
Maana sio kwa kipilipili hiki, hakikui![]()
Doh!! Pole sana dear.Hapana sikuwa naendesha mimi
Nilipata mishe ya fasta ikabidi nichukue bodaboda ili niwahi
Wakati safari inaendelea pikipiki ikayumba tairi ya mbele ilikanyaga upande ikateleza tairi dreva akashindwa kuimudu tukadondoka
Mguu ukaingia ndani ya tairi ya nyuma nikabuluzwa nikapata jeraha kama inavyooneka kwenye picha na upande wa goti
Suruali ilichanika hapo gotini
Nisingeumia mguuni ningekuwa nimevaa viatu
Nimefarijika kukuona hapa, maana ukipotea nawaza mengiMambo yanatokea mengi sana Jael wangu, lakini hatuwezi potea kabisa. Tena mtu kama wewe ndiyo siwezi kukusahau kabisa, lazima ningepita hata kukusalimia kidogo

Pole sana mkuu, pikipiki ni basi tu ila ni usafiri hatari sana, hasa barabara kubwa.Hapana sikuwa naendesha mimi
Nilipata mishe ya fasta ikabidi nichukue bodaboda ili niwahi
Wakati safari inaendelea pikipiki ikayumba tairi ya mbele ilikanyaga upande ikateleza tairi dreva akashindwa kuimudu tukadondoka
Mguu ukaingia ndani ya tairi ya nyuma nikabuluzwa nikapata jeraha kama inavyooneka kwenye picha na upande wa goti
Suruali ilichanika hapo gotini
Nisingeumia mguuni ningekuwa nimevaa viatu
Akhsante sana mpendwaDoh!! Pole sana dear.
Sasa inabidi nije niwe nakubadilisha hiyo bandage.Mungu ni mwemaView attachment 1484967
Akhsante sana mkuuPole sana mkuu, pikipiki ni basi tu ila ni usafiri hatari sana, hasa barabara kubwa.
Wow!!Hakika itapendeza sana JaelSasa inabidi nije niwe nakubadilisha hiyo bandage.

Naomba ruhusa nikamuuguze mgonjwa.Pole sana mkuu, pikipiki ni basi tu ila ni usafiri hatari sana, hasa barabara kubwa.