T 1990 ELY
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 12,932
- 30,087
Vizuri sana kama ni salama pande hizo mamySalama Ely!
Vizuri sana kama ni salama pande hizo mamySalama Ely!
amu mamboSawa![]()
![]()
![]()
Halafu jana sijakuona maeneoPale wanaposalia Shabokas.
Rose na Nick pia usisahau.
All in all wasukuka wasimuangushe role model wao.
Penda mingi mingi mie
Halafu jana sijakuona maeneo
Jana nilikuwa na watu wanaotumia ile kitu yetu tukawekeana sheria hakuna kushika simu, kila mtu atashika simu akiwa kwake.Umetisha sana
Sawa rafikiPoa rafiki![]()
Ni jina langu halisi.Amu jina lako maana yake nn ?
Kuna mdada mmoja nilisoma naye alikuwa hawezi kusema soksi anasema soski na boksi anasema boski.Hahaha wapi tena,ulikuwa hujui kusema soksi nini?
sio kweli!



basi kaka usilie jamanibasi kaka usilie jamani
Mie nilisikia hivyo na niliobahatika kukutana nao ni wafupi kweli, sasa sijui kama na wa kule Same na walioko kwenye mikoa mingine nao wote ni wafupi au kuna na warefu.

we haya tu! Inawezekana kweli alikuwa hawezi kutamka,mimi mpaka leo kutamka neno crisps ni mtihani najikuta nimesema crips.Kuna mdada mmoja nilisoma naye alikuwa hawezi kusema soksi anasema soski na boksi anasema boski.
Na siyo kwamba ni mdogo hapo tulikuwa a level sasa sijui kama alikuwa anashindwa kuyatamka au alikuwa anafanya makusudi.
Amen!Vizuri sana kama ni salama pande hizo mamy
JaelAmen!
Hata mimi sijawahi kuona mpare mrefu.basi kaka usilie jamani
Mie nilisikia hivyo na niliobahatika kukutana nao ni wafupi kweli, sasa sijui kama na wa kule Same na walioko kwenye mikoa mingine nao wote ni wafupi au kuna na warefu.
Hao warefu mmewaficha kuko milimani? Au ndio mrefu kama Mkapa kwakua kawapita wengi huko basi ndio giant?we haya tu!
Ilà sio wafupi bwana, ni vile watu wamekuwa na perception hiyo ilà kuna giants wengi tu na shotii pia wapo wengi tu.
Abee Ely!Jael
Habari za asubuhi mpendwaAbee Ely!
Good morning!