Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Weka hapa tuangalie wote mkuu.
Hutaki warembo wengine waone uumbaji wa muumba[emoji3]

Ukija pm hakikisha unanitumia full kabla ya maelezo mengine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app

Huko pm napo si lediz first unaanza wewe kutangulia alafu mimi nafuata nyuma kukulinda.



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi napenda pia limao ila nile nisile ni sawa tu

Ila kuna kitu nilishakuwa addicted nacho,nikikitaja hapa utanishangaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Yan me nimefikia stage ya kupata na arosto nikimaliza week bila kula.
Kitaje tu, zamani ilikuwa mchele kutafuna nikapambana kupunguza ila bado sijaweza kuacha kabisa
 
Sis watu wa pwani msuli ndio jadi yetu
IMG_20200520_233031_8.jpeg


kilicho akilini kitumie
 
Yan me nimefikia stage ya kupata na arosto nikimaliza week bila kula.
Kitaje tu, zamani ilikuwa mchele kutafuna nikapambana kupunguza ila bado sijaweza kuacha kabisa
Mimi natia aibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utadhani mama mjamzito..yaani nitajikanyaga weee Hadi nitafute kipande Cha udongo
Michele sijawahi kutafuna ila malimao huwa nayaelewa Sana nikitia na chumvi Basi mambo Ni Moto[emoji91]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom