Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mimi natia aibu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utadhani mama mjamzito..yaani nitajikanyaga weee Hadi nitafute kipande Cha udongo
Michele sijawahi kutafuna ila malimao huwa nayaelewa Sana nikitia na chumvi Basi mambo Ni Moto[emoji91]

Sent using Jamii Forums mobile app
Aah udongo me sili kabisa, ila napenda kale kaharufu ka vumbi manyunyu yakianza kudondoka.
Limao hebu achana nalo 😀
 
Aah udongo me sili kabisa, ila napenda kale kaharufu ka vumbi manyunyu yakianza kudondoka.
Limao hebu achana nalo [emoji3]
Mimi ile harufu Niko radhi nikae nje manyunyu yaliloweshe kwa ajili ya ile harufu.

Sasa Mimi nikikaa kidogo tu natafuta udongo .
Kuna kipindi nilikuwa nanunua kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom