Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Mnh hivi id yako ya zamani ni ipi mkuu ??Karma muongo wewe
Mnh hivi id yako ya zamani ni ipi mkuu ??Karma muongo wewe
Picha zangu zote nilifuta ujueKuna kama mbili nazikumbuka hadi leo..
Ulipendeza mno
Nioneshe nyingine basi
The only thing to fear is fear itself
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kichwa gani mkuu specify nisije onesha tofauti na unachotaka kukiona
Sent from my iPhone using JamiiForums
MkokaaMnh hivi id yako ya zamani ni ipi mkuu ??
Mi nishasema bora niwe mwembamba hata zaidi ya mange kimambi kuliko niwe mnene. Kasoro lile ziwa kama lake tu ndiyo silitaki.Kazana
Mwishowe ukomae kama Mange Kimambi
Nishawahi kukwambia nilizisave kwenye ubongoPicha zangu zote nilifuta ujue
Kumbe ndiyo kazuri hivo ?? Ila safari hii kumekuwa na wimbi kubwa la members wanaobadili id !!
Kichwa kimepata moto kesho nakuelezea kwa upana
Ukiwemo na wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe ndiyo kazuri hivo ?? Ila safari hii kumekuwa na wimbi kubwa la members wanaobadili id !!
Weka hapa tuangalie wote mkuu.Twende Pm unanipiem picha yako namim nakupiem back apo vip?
Sent from my iPhone using JamiiForums
Weka tu hivyohivyo mkuu.[emoji38][emoji38] nna mkichwa mbaya kama kichwa cha habari
Sent from my iPhone using JamiiForums
SawaKichwa kimepata moto kesho nakuelezea kwa upana
The only thing to fear is fear itself
Weka hapa tuangalie wote mkuu.
Hutaki warembo wengine waone uumbaji wa muumba[emoji3]
Ukija pm hakikisha unanitumia full kabla ya maelezo mengine [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha, tupia basi