Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Namna ya kuziacha labda nistop kununua. Ila naweza kustop lakini siku nikiziona tu sokoni basi mate yanajaa mdomoni, koo linaanza kuwasha, akili inakumbuka ule utamu naupata nikila basi nakuja kushtuka nishanunua, nishafika home nipo nakula

Ila ahsante, itabidi nijizuie sana. Naamini ntawezana
Yan unapata utamu ukila limao!??

Ushakuwa addicted ..kama ulivyosema jizuie kwa mwezi huku ukiendelea na ratiba zako za misosi kama kawaida,imani yangu utarudisha weight

The only thing to fear is fear itself
 
Mimi nifundishe mbinu rahisi ya kupungua mwili
Kuna wapendwa wangu wanataabika kushinda njaa.

Nifundishe pia mbinu rahisi ya kuongeza mwili..usiambie Nile bila mpangilio,siwezi kula Sana kupita kiasi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa unataka kupungua au kuongeza sijakuelewa

The only thing to fear is fear itself
 
Back
Top Bottom