Hatimaye mama Beijing umemaliza mwakaIt is 20th May and it was 20th May....










Ngoja tu niamini kuwa ni tamu ila meno yatauma kwa uchachuNakata limao
Napakaa chumvi
Naaanza kula, chumvi ikipungua naongeza huku naendelea kula huku nakamua kupata yale maji maji nilambe vizuri..
Ni tamu we acha tu
Mkuu limao linaenda na chumvi.
Hebu jaribu siku moja utaona.
Mimi mwenyewe limao bila chumvi naona halinogi.
Limao na chumvi Ni sawa na embe bichi na chumvi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja tu niamini kuwa ni tamu ila meno yatauma kwa uchachu
Sent from my iPhone using JamiiForums

Hayaumi
Sitaki kukesha na moderatorBasi unayo meno mazuri na imara hebu kapicha tuyaone
Sent from my iPhone using JamiiForums
Sitaki kukesha na moderator





😂😂😂
Hii iliwahi kumtokea mzigua90
Alihangaika mod hawataki kufuta picha
Sent using Jamii Forums mobile app
Sitaki kukesha na moderator
ni maamuzi tu au ntapita apo fasi ya frnds kona niyaone ![]()
Mbaya sana, muda huo mpaka unajuta kwanini uliweka






Mkuu baba mwenye nyumba kashatuambia tuache yoga barakoa ya nini tena😄
Fanya mazoezi Mkuu ,naona una ugeni hapo
Nilikumiss wewe mtuMkuu baba mwenye nyumba kashatuambia tuache yoga barakoa ya nini tena![]()
Nimekumiss pia mpendwa ktk Bwana 😊
Mimi mzimaNimekumiss pia mpendwa ktk Bwana
Natumai uko good good
