BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,838
- 20,259
Natamani sana mwisho wa huu mvutano uwe ni Saint Anne kuweka picha.. Wakuu hapo juu ongezeni ushawishi
Picha zangu zimejaa tele huko juu.Natamani sana mwisho wa huu mvutano uwe ni Saint Anne kuweka picha.. Wakuu hapo juu ongezeni ushawishi
Hebu weka picha acha siasa mingi
[emoji7][emoji7][emoji7]Hebu weka picha acha siasa mingi
Nione kwanza yako..
Niltanguia Mimi kukuomba.,Nione kwanza yako..
Unajua kabisa kutafuta huko juu si kazi ndogo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukishajiongeza usiongeze neno.
Picha zangu ipo hapo kati 23000-24000,
unaonekana una yale wanahitaga mahips si mchezo😋Twende tukazurure kwanza.View attachment 1429854
Mimi sijui kujiongeza [emoji134]Ukishajiongeza usiongeze neno.
Halafu ufanye namna ya mie kuipata ya kwako!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiatu kama Askari polisiFull vumbiiView attachment 1284422
Kiatu kama Askari polisi
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]View attachment 1431189
...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weka visoup dish vyako
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]weka kwanza weweWeka visoup dish vyako
Tilapia ndio "Sato" na Nile perch ndio "Sangara" hawa ndio wanakuwa exported kwenda kwa ulaya.Hivi hao Tilapia kwa kiswahili ndiyo wanaitwa sato au sangara ?? [emoji848][emoji848]
Mie mvivu aisee hyo kazi sitaiweza.Picha zangu ipo hapo kati 23000-24000,
2000-3000,
9000-10000,
Ukienda huko hukosi picha zangu
Sent using Jamii Forums mobile app