Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Kwa vile ameniruhusu mwenyewe nikupe code basi ni yule pale kwenye avatar yake, mimi sina picha yake.
Ndiyo si ulitukimbia ?? Rudi tena
Hivi kuna mtu ametuma picha humu ndani Kama Mimi?
Au kwa vile Nilikuwa likizo na huu Uzi
Sent using Jamii Forums mobile app
OoohKwa vile ameniruhusu mwenyewe nikupe code basi ni yule pale kwenye avatar yake, mimi sina picha yake.

Naam, yeye ndiyeUsinambie Ni Huyo kwenye Avatar
Hata Mimi akili ilishawahi kuwaza hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimesharudi ila picha siweki maana zipo nyingi Sana humu.Ndiyo si ulitukimbia ?? Rudi tena
Hehe haya rudisha hiyo pichaWeka visoup dish vyako
Oohh kumbe, duuh hilo nile perch ndiyo nalisikia leo aisee asante kwa kunijuza.Tilapia ndio "Sato" na Nile perch ndio "Sangara" hawa ndio wanakuwa exported kwenda kwa ulaya.
Siku moja tutembeleane upate supu ya Sato...
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah nami ndiyo nimemuonea pale
Eti enh



haujamboSupu ya sato iko vizuri mno Madame, tofouti na Sangara ambaye simpendi hata kula.Oohh kumbe, duuh hilo nile perch ndiyo nalisikia leo aisee asante kwa kunijuza.
Uwii supu ya samaki mie hata siyo mpenzi, na hata harufu yake huwa sitaki kuisikia.
Daughter & father moments ,, awesome,, I wish to have a female bby aisee
Nimetuma picha.ni nini hiki kenye umeamua kutufanyia
SawaNimejaa tele humu. Huna haja ya kunimiss labda uwe umeamua hivyo!