Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Sunday, no power, in lockdown. Better be prepared my Tanzanian friends, winter is coming.

20200426_172933.jpg
 
Kwanza sijapenda kwanini hii Union day imedondokea jumapili!! Si ingengoja kesho aisee, nimeumia mnoo.

Kuhusu notification wallah sipendi zitokee hivyo, huku kwangu nilidisable.... Halafu hebu nitumie hiyo nyimbo.

Then hongereni maana mlikuwa mnatia sana huruma wazee wetu
ndiyo hivyo mama imetokea jumapili, yaani hii corona imeleta bahati mbaya kwenye kila kitu.

umemaanisha hold my hand ya nani
 
Back
Top Bottom