Espy_
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 91,750
- 182,848
Hili ndilo la msingi baba, niko njiani.
@MO11 unaitwa huku mpenzi.Hv yule babedarlin wako alikuwa anaitwa Mo nimesahau id vzr yupo wapi?? Au anatumia id gan
Nmemkumbuka
Sent using Jamii Forums mobile app
Hello mambo vipi mupenziiiHello my brothers and sister's nimewa miss 😍
Hivi hao Tilapia kwa kiswahili ndiyo wanaitwa sato au sangara ?? [emoji848][emoji848]
DagaaaHivi hao Tilapia kwa kiswahili ndiyo wanaitwa sato au sangara ?? [emoji848][emoji848]
Hivi kuna mwingine kipenzi[emoji2296][emoji2296] mwee dada mimi tena ??
Mmhh
Hahah!!Sema wewe unaninyima nini !??mnazareti unataka kuninyima nini eti jamani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muwe na jumapili tulivu.
Nimetoa kitenge changu nivae niende kanisani, kuna sauti ikaniambia Sakayo acha kiherehere! Nimekirudisha saivi nimelala
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] daah nimekunyima nini eti jamaniHivi kuna mwingine kipenzi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] khaaMuwe na jumapili tulivu.
Nimetoa kitenge changu nivae niende kanisani, kuna sauti ikaniambia Sakayo acha kiherehere! Nimekirudisha saivi nimelala