Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Mmhh fanya utusaidie wote jamani
Mmhh fanya utusaidie wote jamani
Hahahahah
Kama wapo serious, ziko wapi tenaaa!!
Hawa nishawazoea mimi jamani!! Nisipoona notifications naenda browser najibu then narudi kwenye app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Amejua kunifurahisha Melo jamani
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko kwingine watu wanatucheka wanasema hazitadumu, haina neno tusiongee sana tusubiri tu mei mosi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah akili zako zinakutosha mwenyeweHahahahah
Kama wapo serious, ziko wapi tenaaa!!
Hawa nishawazoea mimi jamani!! Nisipoona notifications naenda browser najibu then narudi kwenye app
Kitu Cha may mosi [emoji847]Huko kwingine watu wanatucheka wanasema hazitadumu, haina neno tusiongee sana tusubiri tu mei mosi.
[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296] mwee mbona mnatukatisha tamaa jamaniHata wasisherehekee maana hazitodumu, sidhani hata kama wiki itafika.
Hahaha![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na yule hakosi sababu
Tayari nimeshasherehekea
Kama kuhusu kuniona nakumbuka nilishakufungulia code hadi sasa unaniona,Mmhh fanya utusaidie wote jamani
Ila wewe nawe kwa Picha..Tayari nimeshasherehekea
Nibariki na kapicha tafadhali [emoji3526]
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3526][emoji3526][emoji3526][emoji3526]Kitu Cha may mosi [emoji847]
Melo mtu makini Sana...Ngoja watashangaa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini?
Akirudi baadaye atakuja kuniponda.Kwanini?
Oohh nilijua ulinidanganya kumbe kweli, basi msaidie saint anne tu.Kama kuhusu kuniona nakumbuka nilishakufungulia code hadi sasa unaniona,
Nafikiria namna bora ya kudecode kwa ajili ya Saint Anne
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimeona bado mnaendeleza gurudumu kwenye ule uzi wa app users vs browser users, mko vizuri.Akirudi baadaye atakuja kuniponda.
Ukisoma zile charts zetu utacheka mwenyewe
Sent using Jamii Forums mobile app
Wiki au kesho auntieHata wasisherehekee maana hazitodumu, sidhani hata kama wiki itafika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wallah akili zako zinakutosha mwenyewe
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wiki au kesho auntie
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
App haijawahi kuacha kuwa na mawenge. Inafaa siku moja ya pili inarudi ICU