Naona unanipaka mafuta kwa mgongo wa chupa mkuuHayupo Mwenye Sauti Mbaya,,
Hiyo ya kwako ni nzuri, Tuki itune unakuwa wa Level za juu kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hello blazaBahati mbaya sana, naingia sioni hata kusafisha ubongo jamani. Wadada mmeniangusha![]()



Nimetoroka majukumu nimekuja ihudumia addiction .. Lord have mercyView attachment 1405906
Sent using Jamii Forums mobile app

looh we naye mshakunaku tangu juzi tunakuita mi na Depal haukuji ila leo kusikia tunaongelea picha za Heaven Sent ndiyo umeibuka, na kwa taarifa yako ninazo ila sikupi.
MsimpeeeeeeeeAtajifanya alikuwa haoni notification... Na pic za Heaven Sent hapati![]()
Imagine me and you walking together and we see 20 million Tsh , what will you do with your 3 million Tsh ?Hello blaza
Simpi muache aendelee kusubiri meli airport
Imagine me and you walking together and we see 20 million Tsh , what will you do with your 3 million Tsh ?



hunhNi nini hichohunh
Ndiyo ni hichoNi nini hicho
Picha hauna na ukipata lazima unipelooh we naye mshakunaku tangu juzi tunakuita mi na Depal haukuji ila leo kusikia tunaongelea picha za Heaven Sent ndiyo umeibuka, na kwa taarifa yako ninazo ila sikupi.




Ona Mara ya mwisho kupata notificationsAtajifanya alikuwa haoni notification... Na pic za Heaven Sent hapati![]()
