Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
HapanaAlikuahidi chochote ?
HapanaAlikuahidi chochote ?
Hahaa sasa si umepitwa mwenyewe jamaniWe dada acha utani
Yaani nisubiri picha Tangu mwaka Jana halafu asinipe?
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanasema eti mtu aki-like posts zako hivi kuna kitu anataka, teh!!





Sasa ole wako uje kule mikono mitupuOohh we endelea kunichukulia poa tu, mwenzio picha za celebrities wote wa JF ninazo.





A wapiHahaa sasa si umepitwa mwenyewe jamani








Teh teh, mie mwenyewe tu nimelia na yangu sijasaidiwa ndiyo itakuwa ya mtu mwingine.




Wewe Ni halali tu kutosikilizwaTeh teh, mie mwenyewe tu nimelia na yangu sijasaidiwa ndiyo itakuwa ya mtu mwingine.

Namfuata tena, alisema nisimfuate kwa shida ya kubadili id tu ila shida nyingine nimfuate.
Ukome 😂😂😂😂Namfuata tena, alisema nisimfuate kwa shida ya kubadili id tu ila shida nyingine nimfuate.
Usimsumbue kabisa meloNamfuata tena, alisema nisimfuate kwa shida ya kubadili id tu ila shida nyingine nimfuate.





Rudisha lile la mwanzoUkome![]()
Me nilimpaga mawili akanichagulia hili.
😂😂😂 nitalifungulia ID yake
DuhUkome![]()
Me nilimpaga mawili akanichagulia hili.
Kulikoni?
Hahahaha, kuna MTU kasema hapo juu rudisha lile la mwanzoKulikoni?