Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Mwe hili taji lina miiba wallahi, na limeshakuwa zito sasa.
Mwe hili taji lina miiba wallahi, na limeshakuwa zito sasa.
Hapo sasaHahahaha khaa nani kasema hayo yote, wabongo tuna imani za ajabu jamani.
Hapana mkuu mtu kutokukutumia picha yake sidhani kama inahusiana na kuibiana nyota, labda inawezekana hayo mambo yapo ila mie siamini kwa kweli.
Ni vile humu hatufahamiani sasa ukisema kila anayekuomba picha yako umtumie utafahamiana na wangapi, isitoshe humu hatuaminiani sababu ya huu mtindo wa kuchomoleana betri.
We siyo mgeni humu, utakuwa unajua na umeshaona baadhi ya watu waliochomoleana betri sababu ya kukubali kutumiana picha kirahisirahisi tu.
Hivi hajaweka hadi Leo?[emoji134]Teh teh hata hivyo si uliniahidi tangu mwaka jana kuwa utanitumia picha ila hadi leo hola? Au umesahau?
Kumbe mnaogopana[emoji134][emoji134][emoji134]Hahahaha khaa nani kasema hayo yote, wabongo tuna imani za ajabu jamani.
Hapana mkuu mtu kutokukutumia picha yake sidhani kama inahusiana na kuibiana nyota, labda inawezekana hayo mambo yapo ila mie siamini kwa kweli.
Ni vile humu hatufahamiani sasa ukisema kila anayekuomba picha yako umtumie utafahamiana na wangapi, isitoshe humu hatuaminiani sababu ya huu mtindo wa kuchomoleana betri.
We siyo mgeni humu, utakuwa unajua na umeshaona baadhi ya watu waliochomoleana betri sababu ya kukubali kutumiana picha kirahisirahisi tu.
Ila ni sawa me kumchomolea betri ke?Hapo sasa
Ila ni u crazy mdada kumchomolea betri mdada mwenzake
Au me kumchomolea me mwenzake
Labda kama mmoja ni tapeli sugu hapo hakuna namna zaidi ya kumlipua
Nakusubiria
natamani siku ipatikane app inayoweza kung'oa haya madude mnayoweka kuficha sura zenu😊😊😊😊... My Love for low cut... View attachment 1405594
Shindwaaaaaaaaanatamani siku ipatikane app inayoweza kung'oa haya madude mnayoweka kuficha sura zenu😊😊😊😊
[emoji41][emoji41] nazingua mimi jamaniWalaaa, nilikuwa nakukunbusha tu.
🤣🤣🤣🤣🤣 hii idea nimekua nayo ngojea niongee na wadau wa it/comp sciShindwaaaaaaaaa
[emoji16][emoji16] hapana siyo mimiWe ni wa kunifanyia hivi kweli[emoji134]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi ushahidi kuleta ni dakika mbili na sekunde sifuri tu, sasa ukileta ng'ee ng'ee ng'ee naweka ushahidi. [emoji16][emoji16]Hiyo itakuwa uliota kwakweli.
Tafadhali sana usilete ushahidi.
Dalili za kuwa mchawi hizo 😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣 hii idea nimekua nayo ngojea niongee na wadau wa it/comp sci
tunaingia chimbo tukiivumbua ni mwendo wa kufunua tuuu
Nami nilikuwa nakukumbusha tu mpenzi [emoji4][emoji4]Unataka kusemaje labda[emoji23]
[emoji2296][emoji2296] kumbe kuchomoleana betri kwa jinsia moja ni ajabu ila kwa jinsia tofauti ndiyo sawa, dunia simama (malizia)...Hapo sasa
Ila ni u crazy mdada kumchomolea betri mdada mwenzake
Au me kumchomolea me mwenzake
Labda kama mmoja ni tapeli sugu hapo hakuna namna zaidi ya kumlipua
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] looh we naye mshakunaku tangu juzi tunakuita mi na Depal haukuji ila leo kusikia tunaongelea picha za Heaven Sent ndiyo umeibuka, na kwa taarifa yako ninazo ila sikupi.
[emoji23][emoji23] tunaogopana eti, haki hii ya leo mpya.Kumbe mnaogopana[emoji134][emoji134][emoji134]
Hapo sasaIla ni sawa me kumchomolea betri ke?