Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
hapati nakuambia we muache tu, naona hiyo app yake inachagua notifications za kumletea inamletea zile za umbea tu.

Dah
Mi nilikuwa napita njia tu huku
Sent using Jamii Forums mobile app
hapati nakuambia we muache tu, naona hiyo app yake inachagua notifications za kumletea inamletea zile za umbea tu.

We dada acha utani

Corona ishaanza kukutafuna ubongoniNdiyo ni hicho
Nenda kwa Melo ukamlilie 😂😂😂😂
Wanasema eti mtu aki-like posts zako hivi kuna kitu anataka, teh!!
Oohh we endelea kunichukulia poa tu, mwenzio picha za celebrities wote wa JF ninazo.Picha hauna na ukipata lazima unipe
Hivi si nilikaambia Mara ya mwisho nimepata notifications mwezi February
Sent using Jamii Forums mobile app

usihofu kipenzi, nitakutumia zote unazotaka.We dada acha utani
Yaani nisubiri picha Tangu mwaka Jana halafu asinipe?
Sent using Jamii Forums mobile app

Mie nilimtafuta ila hadi leo hajanisaidiaNenda kwa Melo ukamlilie![]()
Wanasema eti mtu aki-like posts zako hivi kuna kitu anataka, teh!!

khaaNataniamwee
Alikuahidi chochote ?Mie nilimtafuta ila hadi leo hajanisaidia