Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] looh we naye mshakunaku tangu juzi tunakuita mi na Depal haukuji ila leo kusikia tunaongelea picha za Heaven Sent ndiyo umeibuka, na kwa taarifa yako ninazo ila sikupi.
Atajifanya alikuwa haoni notification... Na pic za Heaven Sent hapati 😂😂😂
 
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.

Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati tunakuwa wavivu kujibu hoja kwa maandishi ama kuchangia. Solution hii HAPA sasa. Utashangazwa na matokeo yake...!!!

Utajikuta kwenye ulimwengu wa furaha isiyo kifani. Fanya hivi, hapo ulipo tupia picha yako ya sehemu yoyote mwilini. Epuka picha yenye kuonesha sura kwa sababu za wazi kabisa. Mimi nitaaza na hizi.



Hiyo picha yako ya mwisho ulikuwa unataka kutuonesha ukubwa wa pumbu zako ama?
 
[emoji2296][emoji2296] kumbe kuchomoleana betri kwa jinsia moja ni ajabu ila kwa jinsia tofauti ndiyo sawa, dunia simama (malizia)...
Mara nyingi jinsia tofaut zikishindwana kulalana huko nje ndio zinakuja kulipuana japo nayo ni tabia ya immatured fellas
 
Mara nyingi jinsia tofaut zikishindwana kulalana huko nje ndio zinakuja kulipuana japo nayo ni tabia ya immatured fellas
Oohh sasa watu ndiyo hawataki hayo mambo, maana hauwezi jua anaweza akanitumia mimi halafu mimi nikamtumia mtu mwingine ambaye ni me halafu huyo mtu ndiyo akamchomolea betri.

Haya mambo haya yasikie kwa jirani tu mkuu
 
Back
Top Bottom