Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 97,094
- 136,671
Housing development under construction.
Plenty of wood.
Plenty of wood.
Jamani kaka yangu kipenziTusinyimane, jamani mdogo wangu kipenzi nimeona hapo..TUSINYIMANE!
Mimi napenda vitu vizuri, mnaihuisha nafsi yangu mkiweka vitu vizuri, picha zenu tam tam zinaifanya siku yangu iwe bora kabisa. Halafu mnasaidia umma kuelewa kuwa this side kuna vitu vizuri, wadada warembo kabisa na wa ta m...haha!
Haya tuendelee![]()
Yes, kale ka beautyful smile 😂😂😂Depal huyo hapo...View attachment 1356328



kakupendelea sana umaarufu jamani,, huyo mama si unampata vizuri??
Nimependelewa au nimeonewa?kanipendela wigi na rangi, kaninyima dimpoz



kwa kweli wewe nahisi unawaelewa,, mie nimeshangaa aise yaani mtu analalamika kabisa eti..
Ni matatizo yao binafsi
Mtu anapost kile anachojisikia kushare nasi mtu mwingine huko anaanza kupata sononeko, me nimeshindwa kuwaelewa.
Dah Mambo yangu kabisa hayo....mguuni hujawahi niangusha!!Guys, comment ya mtu mmoja ndio mnaijadili tangu jana kweli? Is he worth it? Really?View attachment 1356049
Emu ninong'oneze kwanza ni nani? Asije kuwa ni Mia Khalfa 🤣🤣🤣🤣kakupendelea sana umaarufu jamani,, huyo mama si unampata vizuri??
😀😀 tunatofautianakwa kweli wewe nahisi unawaelewa,, mie nimeshangaa aise yaani mtu analalamika kabisa eti..
Niambie inbox ya kule 😀unamfahamu huyo mama

acheni hizo bana
Nadhani iundwe kamati ya uchunguzi kwanini mwanzo haukulalamikiwa?![]()
Emu ninong'oneze kwanza ni nani? Asije kuwa ni Mia Khalfa
Ila me ni maarufu karibu Buza nzima






😀😀😀😀😀
Aisee!!
Unajua mtu unaweza ukapost kitu ambacho wewe unakiona ni cha kawaida kabisa. Mfano sandwich ya subway [hata kama hujaila] au hata taa tu za kuongozea magari barabarani.
Lakini kumbe kuna wengine wanaona hivyo vitu ni ‘vikubwa’ sana na vya ‘kujimwambafy’.
Sijui kwa nini iko hivyo.
Mtu unapost picha ya kiatu. Hujasema ni chako au la. Lakini wenzio wanajijengea taswira potofu akilini mwao kuwa hicho kiatu ni chako.
Wanaanza kukuona unajimwambafy. Wanajawa unyonge wa bure [WANAJINYONGEFY].
Kumbe wala. Wewe umejiwekea tu picha.
Watu huwa wanajipa mawazo na sonona zisizo na msingi kabisa.
Taifa lenye watu wanaoona fahari au kujisifia unyonge ni hatari sana. Lazima likumbwe na watu wenye rohombaya na maradhi yasiyo na msingi.