mimi43
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 411
- 429
hapana mkuu ni katika pitapita zangu nikawakuta nao wakifurahia weekendKwa hiyo mkuu wewe unazurura msituni kutafuta panzi wanaopandana?
Sent using Jamii Forums mobile app
hapana mkuu ni katika pitapita zangu nikawakuta nao wakifurahia weekendKwa hiyo mkuu wewe unazurura msituni kutafuta panzi wanaopandana?
Almost joined my guy Kobe. May y'all have a better week than mine
View attachment 1336827
View attachment 1336843
[emoji1751]Niligonga mtu, mkuu. Yuko poa tho.
mambo za Fifty Shades.....
[emoji1751]
Pole sana,kikubwa uko salama na yeye anaendelea vizuri.
Ajali haina Kinga.
BTW umenikumbusha nilivyowahi kugongwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakubhoneka kisa
Bhika yingi yo yikukulangisha Kanunu pamaso[emoji85]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huku kwetu.