Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Acheni kulalamika mazee!
Kama vipi tupeane doo sisi tunaotembea kwa miguu tupate walao kaverosa ka kwenda church jumapili!!

Maisha ni haya haya tuu jamani! Mimi huwa natuma hadi mahindi ya kuchemsha na life linaenda mazee!

Tulianza kwa upendo, tuishi kwa upendo! TUSINYIMANE, ukiona mepiga picha na tecno yangu haionekani poa basi fanya kunipostiaa kasamsung jamani! Hatuwezi kufanana wootee!!

Sakayo
 
Aisee!!

Unajua mtu unaweza ukapost kitu ambacho wewe unakiona ni cha kawaida kabisa. Mfano sandwich ya subway [hata kama hujaila] au hata taa tu za kuongozea magara barabarani.

Lakini kumbe kuna wengine wanaona hivyo vitu ni ‘vikubwa’ sana na vya ‘kujimwambafy’.

Sijui kwa nini iko hivyo.

Mtu unapost picha ya kiatu. Hujasema ni chako au la. Lakini wenzio wanajijengea taswira potofu akilini mwao kuwa hicho kiatu ni chako.

Wanaanza kukuona unajimwambafy. Wanajawa unyonge wa bure! WANAJINYONGEFY.

Kumbe wala. Wewe umejiwekea tu picha.

Watu huwa wanajipa mawazo na sonona zisizo na msingi kabisa.
Haha eti wanajinyongefy...basi tu tuseme shauri zao na mawazo yao maana humu kuna watu hata hawaeleweki mitazamo yao iko vipi, ukipost cha gharama unajimwambafy bado ukipost cha hali ya kawaida bado watakusema wanasahau watu wa JF ndio kina sisi wa uraiani kuna classes tofauti kuanzia first class, upper second, lower mpaka pass 😀😀😀
 
Acheni kulalamika mazee!
Kama vipi tupeane doo sisi tuotembea kwa miguu tupate walao kaverosa ka kwenda church jumapili!!

Maisha ni haya haya tuu jamani! Mimi huwa natuma hadi mahindi ya kuchemsha na life linaenda mazee!

Tulianza kwa upendo, tuishi kwa upendo! TUSINYIMANE, ukiona mepiga picha na tecno yangu haionekani poa basi fanya kunipostiaa kasamsung jamani! Hatuwezi kufanana wootee!!

Sakayo
💯
 
Muziki wa wakubwa

IMG_3096.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni hayo tu, Don't hate, get inspired
Mwanzoni selfie zilikuwa selfie kweli, wengine tukajisahau na madawa ya Mshana Jr tukajipost bila hata emoj waliona wakaona...

watu wengine ni anonymous forever hawataki hata aina ya vidole vyao vifahamike hapa JF.
Mwingine katupia zake kiatu kikali kasema Nyani Ngabu unakuwa huwezi kujua kama ni chake au cha google kisa tu amekipost member fulani hapa raia wanaona yule kama anaSHOW OFF kisa kapost kitu kikali / cha gharama.

Me naona mitazamo ya watu ndio iko hoves mtu anapata kiungulia cha nafsi kisa kuna member kapost gari ya mzungu akijicheck yeye hata ya mchina hana au ipo garage huu mwez wa 7 ni lazima ahisi yule member anajimwambafy kumbe walaa mtazamo wake ndio umempeleka pabaya.

Ni hayo tu, Don't hate, get inspired

Jr
 
Mwanzoni selfie zilikuwa selfie kweli, wengine tukajisahau na madawa ya Mshana Jr tukajipost bila hata emoj waliona wakaona...

watu wengine ni anonymous forever hawataki hata aina ya vidole vyao vifahamike hapa JF.
Mwingine katupia zake kiatu kikali kasema Nyani Ngabu unakuwa huwezi kujua kama ni chake au cha google kisa tu amekipost member fulani hapa raia wanaona yule kama anaSHOW OFF kisa kapost kitu kikali / cha gharama.

Me naona mitazamo ya watu ndio iko hoves 😀😀 mtu anapata kiungulia cha nafsi kisa kuna member kapost gari ya mzungu akijicheck yeye hata ya mchina hana au ipo garage huu mwez wa 7 ni lazima ahisi yule member anajimwambafy kumbe walaa mtazamo wake ndio umempeleka pabaya.

Ni hayo tu, Don't hate, get inspired ❤
Umeeleweka uncle.
 
Back
Top Bottom