Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Kwa kweli ni wivu siyo bure
Ni wivu tu
Ni wivu tu
Depal huyo hapo...View attachment 1356328
Unacheka nini eti jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tusonge mbele...Kwa kweli ni wivu siyo bure
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]WANAJINYONGEFYAisee!!
Unajua mtu unaweza ukapost kitu ambacho wewe unakiona ni cha kawaida kabisa. Mfano sandwich ya subway [hata kama hujaila] au hata taa tu za kuongozea magari barabarani.
Lakini kumbe kuna wengine wanaona hivyo vitu ni ‘vikubwa’ sana na vya ‘kujimwambafy’.
Sijui kwa nini iko hivyo.
Mtu unapost picha ya kiatu. Hujasema ni chako au la. Lakini wenzio wanajijengea taswira potofu akilini mwao kuwa hicho kiatu ni chako.
Wanaanza kukuona unajimwambafy. Wanajawa unyonge wa bure [WANAJINYONGEFY].
Kumbe wala. Wewe umejiwekea tu picha.
Watu huwa wanajipa mawazo na sonona zisizo na msingi kabisa.
Mwanzoni selfie zilikuwa selfie kweli, wengine tukajisahau na madawa ya Mshana Jr tukajipost bila hata emoj waliona wakaona...
watu wengine ni anonymous forever hawataki hata aina ya vidole vyao vifahamike hapa JF.
Mwingine katupia zake kiatu kikali kasema Nyani Ngabu unakuwa huwezi kujua kama ni chake au cha google kisa tu amekipost member fulani hapa raia wanaona yule kama anaSHOW OFF kisa kapost kitu kikali / cha gharama.
Me naona mitazamo ya watu ndio iko hoves [emoji3][emoji3] mtu anapata kiungulia cha nafsi kisa kuna member kapost gari ya mzungu akijicheck yeye hata ya mchina hana au ipo garage huu mwez wa 7 ni lazima ahisi yule member anajimwambafy kumbe walaa mtazamo wake ndio umempeleka pabaya.
Ni hayo tu, Don't hate, get inspired [emoji173][emoji173]
Guys, comment ya mtu mmoja ndio mnaijadili tangu jana kweli? Is he worth it? Really?View attachment 1356049
Nipo mkao wa kula nazisubiri za malips na matako nizizoom ka zawadi ya pre-valentine.
Wi nidi tu toku kwa kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
TUOTEMBEA si nikalisoma vibaya nikasema moyoni huyu Dada mahutu kaanza lini.
Yes, kale ka beautyful smile [emoji23][emoji23][emoji23]
Aisee hii mada haijaisha tu Wapendwa matani yanachukuliwa serious 😀😀Acha tuseme tu watu wajifunze my dear,, mie nilisikitika nauliza watu kwanini wametukimbia huku kwenye selfie najibiwa eti huu uzi umekuwa wa kujimwambafy ilibidi niweke kwanza simu pembeni ili nishangae vizuri..
Kwa kweli inashangaza sana na haiingii akilini
Emu ninong'oneze kwanza ni nani? Asije kuwa ni Mia Khalfa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ila me ni maarufu karibu Buza nzima
[emoji3][emoji3] tunatofautiana
Niambie inbox ya kule [emoji3]