Paula Paul
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 4,649
- 13,623
What does this mean? 4G LTE
What does this mean? 4G LTE
Stay blessed dearI've been doing so great dear sis.
Ni Adrian lester , Bonge la Actor. British, hiyo suit safi sana .
Sent from my iPhone using JamiiForums
Haha not a fan of anything British bro, can't stand their accents. It's all good tho.


WANAJINYONGEFY HAHAHAAHA.Aisee!!
Unajua mtu unaweza ukapost kitu ambacho wewe unakiona ni cha kawaida kabisa. Mfano sandwich ya subway [hata kama hujaila] au hata taa tu za kuongozea magari barabarani.
Lakini kumbe kuna wengine wanaona hivyo vitu ni ‘vikubwa’ sana na vya ‘kujimwambafy’.
Sijui kwa nini iko hivyo.
Mtu unapost picha ya kiatu. Hujasema ni chako au la. Lakini wenzio wanajijengea taswira potofu akilini mwao kuwa hicho kiatu ni chako.
Wanaanza kukuona unajimwambafy. Wanajawa unyonge wa bure [WANAJINYONGEFY].
Kumbe wala. Wewe umejiwekea tu picha.
Watu huwa wanajipa mawazo na sonona zisizo na msingi kabisa.
TUOTEMBEA si nikalisoma vibaya nikasema moyoni huyu Dada mahutu kaanza lini.Acheni kulalamika mazee!
Kama vipi tupeane doo sisi tuotembea kwa miguu tupate walao kaverosa ka kwenda church jumapili!!
Maisha ni haya haya tuu jamani! Mimi huwa natuma hadi mahindi ya kuchemsha na life linaenda mazee!
Tulianza kwa upendo, tuishi kwa upendo! TUSINYIMANE, ukiona mepiga picha na tecno yangu haionekani poa basi fanya kunipostiaa kasamsung jamani! Hatuwezi kufanana wootee!!
Sakayo
HahahhahahaTUOTEMBEA si nikalisoma vibaya nikasema moyoni huyu Dada mahutu kaanza lini.
Tusinyimane, jamani mdogo wangu kipenzi nimeona hapo..TUSINYIMANE!Acheni kulalamika mazee!
Kama vipi tupeane doo sisi tunaotembea kwa miguu tupate walao kaverosa ka kwenda church jumapili!!
Maisha ni haya haya tuu jamani! Mimi huwa natuma hadi mahindi ya kuchemsha na life linaenda mazee!
Tulianza kwa upendo, tuishi kwa upendo! TUSINYIMANE, ukiona mepiga picha na tecno yangu haionekani poa basi fanya kunipostiaa kasamsung jamani! Hatuwezi kufanana wootee!!
Sakayo





EwaaaaGuys, comment ya mtu mmoja ndio mnaijadili tangu jana kweli? Is he worth it? Really?View attachment 1356049
sasa ole wako usinichum back
