Lol purple suit, mkuu? Ni nani huyo btw?

, hiyo suit safi sana . My brother unajua kupenda hadi raha.Zimeanza hivyo wifi kaanza mapema alikuwa anajibu mapigo baada ya kumla hiiView attachment 1355732
God save us
Mkuu ,nimekwama Kawe Ukwamani huku, msaada tafadhali
Ni matatizo yao binafsi 😀
Mtu anapost kile anachojisikia kushare nasi mtu mwingine huko anaanza kupata sononeko, me nimeshindwa kuwaelewa.
Hahahaha, ndio maana siku hz napost na kuandika wanavyotaka ,RAIA 'wanyonge' Wa Tanzania
HahahahaHahaha.
Yaani hata nikikatiza sehemu nikaona watu wanakunywa bia, nami nikazipiga picha hizo bia.
Nikaja nikazirusha kwenye huu uzi.
Wapo wataonyong’onyea na kuniona najimwambafy.
Kaazi kweli kweli!
Oh well, such is life.
Aisee!!
Unajua mtu unaweza ukapost kitu ambacho wewe unakiona ni cha kawaida kabisa. Mfano sandwich ya subway [hata kama hujaila] au hata taa tu za kuongozea magara barabarani.
Lakini kumbe kuna wengine wanaona hivyo vitu ni ‘vikubwa’ sana na vya ‘kujimwambafy’.
Sijui kwa nini iko hivyo.
Mtu unapost picha ya kiatu. Hujasema ni chako au la. Lakini wenzio wanajijengea taswira potofu akilini mwao kuwa hicho kiatu ni chako.
Wanaanza kukuona unajimwambafy. Wanajawa unyonge wa bure!
Kumbe wala. Wewe umejiwekea tu picha.
Watu huwa wanajipa mawazo na sonona zisizo na msingi kabisa.
Duh, Mi ntapost chochote kikikaa mbele ya camera ya simu 🤣, Vitu vingine mi vinanifumbua macho sana . Hata Mtu akipost menu , Tayari nishajua msosi bei gani pale , ina msaada kwangu 🤣. Masela Mposti kila kitu . Tena sasa hivi watoto wameenda shule!
View attachment 1355927
Sent from my iPhone using JamiiForums
Dealership ya Maserati!
Does it mean I own the dealership? Does it mean I own a Maserati? Even the poor man’s Maserati [Ghibli]?
It ain’t that serious. No one should lose sleep over it.
View attachment 1355936

Alienda kwenye ulozi 🤣🤣Hahaahaa ilikuwaje ukafika huko?
Jr![]()
😀😀Duh, Mi ntapost chochote kikikaa mbele ya camera ya simu 🤣, Vitu vingine mi vinanifumbua macho sana . Hata Mtu akipost menu , Tayari nishajua msosi bei gani pale , ina msaada kwangu 🤣. Masela Mposti kila kitu . Tena sasa hivi watoto wameenda shule!
View attachment 1355927
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tuchangamshe uzi kidogo, Post picha ya impression ya member wa selfika! Wengi hatujaona sura za members wengi ila Nina uhakika kuna sura unaijena akilini au unamfananisha na character flani hata wa kwenye movie au kitabu au mtu flani. Tuanze.
1. Sakayo
View attachment 1355704
2. Depal
View attachment 1355706
3. Mshana Jr
View attachment 1355708
4.Roger
View attachment 1355709
Endeeeni
Sent from my iPhone using JamiiForums










Ni wivu tuKwamba kwanini watu walalamike kuwa eti huu uzi umekuwa wa kujimwambafy ??
Nimeona watu wanalalamika kwenye nyuzi nyingine huko kuwa eti huu uzi siku hizi umekuwa wa kujimwambafy eti ndiyo maana wameondoka sasa kwanini yaani ??
Wewe ndo kakupatia zaidi!Mimi..
Jr![]()
Mwanzoni selfie zilikuwa selfie kweli, wengine tukajisahau na madawa ya Mshana Jr tukajipost bila hata emoj waliona wakaona...Nadhani iundwe kamati ya uchunguzi kwanini mwanzo haukulalamikiwa?😀😀