Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,805
- 43,230
Ahahahahaaahahaa S..... Nimetafuta hadi nimeiona.....
Now am going back to your tag..
Msalimie somebody....
Haha uliona matusi ya 'dadii' wa Kasie juzi lakini? Hii si kitu pale.
Ukiacha hio nimekuwa nikiweka collection ya viatu with hashtag #TheShoeTrendChallenge
Remember?
Nimekuwa nafuta baada ya masiku, mfano zile za ufukweni bado zipo hapa
Sasa za viatu haziridhishi aisee [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
full + emojWe wataka za vipi?
Karuka kama ana dunk yupo NBA yani kama lebon James anavyokula mikuno
We mpenzi mtazamaji umetokea wapi tena?full + emoj
Sawaaa maana nimepata hamu ghafla baada ya kulionaNkija huko ntakuletea. Wanaotaka mabungo wajiorodheshe. Kesho natuma namba ya wakala mtume miamala. 5 mtungo mmoja yanakaa 10 mpaka 12
Dhambi ni pale kufanya ratiba kupeana zamu
😂😂😂😂 nimetokea hapo juuWe mpenzi mtazamaji umetokea wapi tena?
Hujawahi niambia Kama unalipenda. Why lakini? Sijakukimbia nipo sanaNimefurahi umerudisha hili jina.
Nipo kwa kweli wewe umenikimbia
Siku nikija chuga utaniona pasipo emoji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimetokea hapo juu
[emoji134][emoji134][emoji134]
Dohh kumbe Watu8 muongo ??
Cc Smart911
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo nimeamka mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]saa nane mpaka kumi hata wewe ulikuwa fofofo
Jr[emoji769]
Okay
Sawa