Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 43,244
- 90,420
Nipo town ila mjini sioni watu ,acha niende kijijini kula sikukuuMzee mwenzangu nimetulia home tuu, upo town??
MTC | 101|

Nipo town ila mjini sioni watu ,acha niende kijijini kula sikukuuMzee mwenzangu nimetulia home tuu, upo town??

Mkuu bwawani hamna tena, maisara labda ila kuna mishangingi ya CCM tu. Ngalawa may be hahahahaNiende wapi sasa Sheikh, ngalawa, gymkhana /maisala au bwawani hotel
MTC | 101|![]()
Mno! Nlikuwa Pemba September aiseeee ni mengi
HahahahaMkuu bwawani hamna tena, maisara labda ila kuna mishangingi ya CCM tu. Ngalawa may be hahahaha

Dah, Shayo kanivuruga katoa muziki kaweka Redio Maria ,dah ,huku sasa kufukuzana
MTC | 101|![]()


anazinguaNiende wapi sasa Sheikh, ngalawa, gymkhana /maisala au bwawani hotel
MTC | 101|![]()
Namtupa ,nasogea Tipsy ,kisha narudi
MTC | 101|![]()
Na huwezi amini sijawahi tia mguu wangu muleHahahaha
Maisara chimbo la Ccm lile
MTC | 101|![]()
Mno! Nlikuwa Pemba September aiseeee ni mengi
Kaka yangu umepotea sana. Mzima?Na huwezi amini sijawahi tia mguu wangu mule
Jamani bungo 😋😋😋😋 Nina mwaka sijayaona hapa nilipo
Ili tunda hata likionekana aliwi kwa wingi kama mananasi au maembeJamani bungoNina mwaka sijayaona hapa nilipo
Kweli. Bara si sana
Nimefurahi umerudisha hili jina.
Umemleta mama mapishi?? Hahahahah
Huyu ndio wewe mkuu??? 🤣🤣🤣🤣🤣😷😷😷😷
Joined Nov 28. Lol
Nkija huko ntakuletea. Wanaotaka mabungo wajiorodheshe. Kesho natuma namba ya wakala mtume miamala. 5 mtungo mmoja yanakaa 10 mpaka 12Jamani bungo 😋😋😋😋 Nina mwaka sijayaona hapa nilipo