Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mmh!

Sijawahi jaribu...

Ila kwa ulaini wa samaki i guess ukimtia kwa hiyo sufuria unaweza ishia pata uji wa samaki...

Njia nzuri za kumpika samaki ni kumdeep fry au kukata minofu na kuichoma juu ya kikangio kwa mafuta machache, limao na viungo vya kunyunyiza
Hivi nikimchukua samak fresh nikaweka kwnye pressure cooker pale kwa cake ataiva ama atakua mkaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani kama cr7...
tapatalk_1576825429610.jpeg
 
Mmh!

Sijawahi jaribu...

Ila kwa ulaini wa samaki i guess ukimtia kwa hiyo sufuria unaweza ishia pata uji wa samaki...

Njia nzuri za kumpika samaki ni kumdeep fry au kukata minofu na kuichoma juu ya kikangio kwa mafuta machache, limao na viungo vya kunyunyiza
Ila samaki anaweza iva vizuri kama muda atakao set ni sahii na temperature pia...njia nyingine atumie foil na viungo vyote atumbukize kwenye tumbo la samaki akamulie limao nk itanoga mno na ataiva vizuri kwa msaada wa Hornet
 
Back
Top Bottom