Relief Mirzska
JF-Expert Member
- Jun 13, 2017
- 13,976
- 22,409
Hebu tushtuane basi ikifika jumanneJumatano shem, fanya kamchakato basi.
Hebu tushtuane basi ikifika jumanneJumatano shem, fanya kamchakato basi.
Hiyo avatar sasa
Mkuu huyu ni wewe?? unajua kuogelea??
sheria ya mtaa😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
Maasha Allah!
Kiddo......
OkayWengine wafanyabiashara Kuna watu wengine lazma umpe mzigo cash ndipo aondoke..hasa kwenye madini
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kama mpaka leo hamna malipo yako unapokea cash utakuwa umelala sana mjini hapa![]()
Wanawake na kucha banahhh ,huwa najiuliza huwa mnajisafishaje baada ya kukata gogo, na usafi wa hizo kucha wakati wa kula
Hapo kwenye kulipa ni kama shilingi ngapi hivi? Na huchukua muda gani kukamilika?Unaenda posta unajaza form ya maombi kama lipo unalipia moja kwa moja... Kuna formalities ndogo ndogo
Jr![]()
Mate kumbe humo ehhh, nitakutafuta kwenye ule uzi wa mkesha ukiwa umegonga liquid zakoJioni njema View attachment 1297322
hizi kucha hawavaagi mara kwa mara.... Wanaovaa sana hizi ni slay queensWanawake na kucha banahhh ,huwa najiuliza huwa mnajisafishaje baada ya kukata gogo, na usafi wa hizo kucha wakati wa kula