Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,924
- 95,728
100% food kama kitaepuliwa jikoni kikiwa kibichibichi namna hiyo!



100% food kama kitaepuliwa jikoni kikiwa kibichibichi namna hiyo!



Humaliza gogoooHahahaha bandu bandu.....
Pambana na chips kuku uchukue njaa ikianza unakulaBora niwe nakula mchana
Saa hizi nimeshazama kitandani kila chakula naona mtihani kupika
Sent using Jamii Forums mobile app
I told you bro! Kule malimbe sio poa 😀😀😀😀😀😀am watchin you brother...
you cook like a pro, kila ingredient kwa aina ya chakula unapika inaonekana
Hahah kupenda misosi mitamu ndio kumenifanya niwe hivi mkuu, na enzi hizo kuishi chuo halafu huwezi kula migahawani maana bei ni ghaliUpo vizuri mkuu
cc: KarmaUmeshapata mke sasa ukapela bye bye
Haswaaaaaa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwenye migahawa pia uchafu tunakula basi tu ila ukiona wanavyopika aiseeeeehhHahah kupenda misosi mitamu ndio kumenifanya niwe hivi mkuu, na kuishi chuo halafu huwezi kula migahawani maana bei ni ghali
I deep fried them bobWhat are you going to do with em?
1.Deep fry
2.Pan sear
3.Bake
4.Steam
Dah speaking of kuku, best places kwangu ni Kisutu au Lumumba pale karibu na CCM lakini huwa wanakuwepo mida ya usiku...Mgahawa nayo tabu tupu
Ila Kuna sehemu pale millennium nilikula kuku na sosi ya pilipili nipo napawaza
Sent using Jamii Forums mobile app
NakaziaaaaaTatizo we unafichwa sana...


Here is the chefMmh!
Sijawahi jaribu...
Ila kwa ulaini wa samaki i guess ukimtia kwa hiyo sufuria unaweza ishia pata uji wa samaki...
Njia nzuri za kumpika samaki ni kumdeep fry au kukata minofu na kuichoma juu ya kikangio kwa mafuta machache, limao na viungo vya kunyunyiza
Unaua mkuu
Hata pale sinza mugabe aiseee tena kuku wa kienyeji hizo chips ni viwango...
Haswaaaaa. Ukishawafanyia hivi wanakuona fwaaaalaDhambi ni pale kufanya ratiba kupeana zamu