Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,541
- 88,490
Mpaka uje nitachoka kisubiria, we jitupie hapa kwanzaSiku nikija chuga utaniona pasipo emoji
Nikwambie kitu, tifanye kale kamchezo ka lens glasses on. Am taking my dictionary and thesaurus with me. That lingui.... Let's go.... Halafu tukitoka hapo ndo hurudii kwenye matusi ua Xmas kati ya Dadii na Roger... In that lungui....
Lets go.


Maagizo gani?
Hahaaaaha nikila tunda sisemagi ngo.Hahahaha huyo akili zake nazielewa,, hatuchelewi kubadilisha story na kujikuta tunaenda kutoa ushuhuda kule kwenye uzi wa rikiboy..
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂Kumbe ulikuwa unaweza liandika ila basi tu kusumbua watu
Kama unataka ona mimi, basi onana na mimi, hivyo
Unahamia lini
Butua mpira uende kwa mashabikiYan hapa nawaza mpira nimpe kipa ama refa apige filimbi tu aondoke na mpira wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaaha nikila tunda sisemagi ngo.
Okey. Na nina deni kwako ila ntalipa tu muda ukiwa sawa. Lakini haikufanya kazi ile nkaamua kuachana nayoSawaaa maana nimepata hamu ghafla baada ya kuliona
Nlishakuhadithia why!Hujawahi niambia Kama unalipenda. Why lakini? Sijakukimbia nipo sana
Sent using Jamii Forums mobile app



Kumbe ulikuwa unaweza liandika ila basi tu kusumbua watu
Asante lakini![]()
Hapana! Mwanakondoo asihangaike hovyo mjini. Kuna "magari" yasije yakamgongaaaa cku moja moja mwanakondoo akienda kujitafutia chakula c mbaya
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣🤣🤣🤣AiseeeNdiyo ila linanipotezea muda,, mfano kama hapo tu kuliandika nimechukua dakika 20 nzima..
Sent using Jamii Forums mobile app