Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,540
- 88,486
Daah sasa kama wewe umeshindwa mimi ndiyo nitaweza kweli?? Huyo tumuache tu atapona kwa miujiza ya muumba!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha mimi nipo huku ndiyo kijiwe changu hichi,, hivi pombe ndiyo inakuficha kiasi hicho??
Sent using Jamii Forums mobile app

hamna ni mambo mengi tu
Hapo kwenye kulipa ni kama shilingi ngapi hivi? Na huchukua muda gani kukamilika?

Ok Asante sanaBox binafsi annual fee ni kama 15,000... Box unapata mapema tu ndani ya wiki kutegemeana na eneo lakini pia kuna extra charges za mwanzo kama 30 elfu hivi
Jr![]()
Wait kwanza, nije????
Karma njoo tukeshe tuselfike dogoake.
A woman cannot survive on coffee alone, she also needs a cat.
Unataka kuulizaje kwa mfano??? Hahaahahh
MUNGU anashusha miujiza kupitia watu.Daah sasa kama wewe umeshindwa mimi ndiyo nitaweza kweli?? Huyo tumuache tu atapona kwa miujiza ya muumba!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Pussycat nyau nyau
Unataka kuulizaje kwa mfano??? Hahaahahh
MUNGU anashusha miujiza kupitia watu.
Asije akategemea Atashuka mwenyewe amuone.
Amenikimbia hataki kunijibu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa kama ni kupitia watu basi wewe ndiyo unafaa maana mimi mwenyewe tu ni tatizo lingine
Sent using Jamii Forums mobile app