Iceberg9
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 27,456
- 52,966
Hahaha unaogopa meno kuoza kama unapenda kitu u die for it
Hahaha unaogopa meno kuoza kama unapenda kitu u die for it
Kwani inaozesha meno pekee? Pia huleta hata mimba zisizotarajiwa...
Hahahaahahahaahahah. Una mambo sana wewe.
Ndio maana hujanipigia
Couple iliyooza meno?? HaahahahahahahahUnamuonyesha jinsi ulivyo mbabe wa machocolate, wewe na Salhat mtatengeza good couple nakazia
I believe you![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] nitakupigia sijasahau kaka nimetingwa acha tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkwe nguo za sikukuu ni kwa watoto...@Watu8 unaona watu wananunua za siku kuu[emoji134][emoji134][emoji134]
Hivi hadi ukumbushwe?
Yes wote muwe vibogoyoCouple iliyooza meno?? Haahahahahahahah
Hivi bro (out of topic), vibogoyo wanaweza ku-kiss???Yes wote muwe vibogoyo
[emoji1][emoji1][emoji1] mate bwana acha ukorofi basiMate kumbe humo ehhh, nitakutafuta kwenye ule uzi wa mkesha ukiwa umegonga liquid zako
Hahaha yes kabisa bila shida ...ila nimecheka sana hili swali lako..Hivi bro (out of topic), vibogoyo wanaweza ku-kiss???
Hahaahaahhaah!Hahaha yes kabisa bila shida ...ila nimecheka sana hili swali lako..
Mate upo vizuri chukua tano...[emoji1][emoji1][emoji1] mate bwana acha ukorofi basi
Duh kumbe [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Kwani inaozesha meno pekee? Pia huleta hata mimba zisizotarajiwa...
Asante sana mateMate upo vizuri chukua tano...
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Unamuonyesha jinsi ulivyo mbabe wa machocolate, wewe na Salhat mtatengeza good couple nakazia
Roho inataka kunyofoka kabisa