Jadda
JF-Expert Member
- May 20, 2019
- 31,547
- 88,538
Hembu ongea naye wewe.Hahahaha mimi nipo huku ndiyo kijiwe changu hichi,, hivi pombe ndiyo inakuficha kiasi hicho??
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani.[emoji2296][emoji2296][emoji2296][emoji2296]vipi tena kazi imeshakushinda??
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyinginyingi tungegawana.Vipaundi thelathini arobaini havitoshi kugawana Anne.
Mimi hata kimoja Sina[emoji134]Nyinginyingi tungegawana.Vipaundi thelathini arobaini havitoshi kugawana Anne.
Karma njoo tukeshe tuselfike dogoake.Hahahaha mimi nipo huku ndiyo kijiwe changu hichi,, hivi pombe ndiyo inakuficha kiasi hicho??
Sent using Jamii Forums mobile app
Huwezi kukosa elfu kumi ya kibantu unanichora tu.Mimi hata kimoja Sina[emoji134]
Unaonaje ukanigawia japo vinne au hio note moja ya ef 10?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sina hata Mia chakavu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huwezi kukosa elfu kumi ya kibantu unanichora tu.
Boss Anne zikiwa nyinginyingi ntakugawia mpendwa.Sina hata Mia chakavu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tugawane Basi boss wangu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kusanya kusanya tugawane[emoji3526][emoji3526][emoji847]Boss Anne zikiwa nyinginyingi ntakugawia mpendwa.
Yuko humu huyo floyd???Kupiga picha na hela - maana yake unapata hela kisha haui reinvest, au unatumia vibaya tell floyd Mayweather asipige picha na hela...
Tunaburudika tu mkuu tusamehe,hakuna asiyejua ugumu wa pesa.
Ntafanya hivo Anne mpaka zijae sitosahau mgao wako.
[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Ntafanya hivo Anne mpaka zijae sitosahau mgao wako.