Noel Ngiama Makanda
JF-Expert Member
- Oct 14, 2018
- 1,782
- 3,107
Nilitaka kusema msalimie nyau wako kwa Kiingereza ila nimeogopa
@Watu8 unaona watu wananunua za siku kuuNdio nachagua chaguaila sio za sikukuu bhn








wallahi nimecheka kwa nguvu,, ni nini lakini??
Nilitaka kusema msalimie nyau wako kwa Kiingereza ila nimeogopa
Kwani wanawake mnatoa ushuhuda?? Au kwa ID za kiume?? Maana ule uzi unaongoza kwa ID mpya. Mimi tu ndio sipo kuleHahahaha huyo akili zake nazielewa,, hatuchelewi kubadilisha story na kujikuta tunaenda kutoa ushuhuda kule kwenye uzi wa rikiboy..
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa shemHebu tushtuane basi ikifika jumanne
Kwani wanawake mnatoa ushuhuda?? Au kwa ID za kiume?? Maana ule uzi unaongoza kwa ID mpya. Mimi tu ndio sipo kule
Ahsante mkuu! Barikiwa tele teleBora uvunge hivyo hivyo, maana unaweza enda na fekero lako kule halafu mods wakaunga ID.Kuna kesi ya Bujibuji na Gilesi.



mbona mtakatifu??
Kumbe na wewe akili zimeharibika, usije ukamuharibu na mtakatifu Anna.
Nilitaka kusema msalimie nyau wako kwa Kiingereza ila nimeogopa
Na Bora uendelee kuogopa hvyo hvyo 

Kwani wanawake mnatoa ushuhuda?? Au kwa ID za kiume?? Maana ule uzi unaongoza kwa ID mpya. Mimi tu ndio sipo kule
Hii kitu Inaongeza hamu
Kwel Yan ukila ham inaongezeka hutam iishe unaeza maliza dozen kwa cku 1Hii kitu Inaongeza hamu



Usi complicate sana man, take it easy binadamu tupo tofauti sana kuna ambao wakipata kidogo wanapenda kuonyesha waache waishi maisha yao, wewe kuwa bitter haisaidiijust celebrate nao life is too short..,
Mfano mimi nikiamua kukupa hasira za maisha mda huu utakimbia hapa wakati 15years ago ilikuwa nife kisa ninaokota chuma mtaani nikauze kilo tzs 20, ...
Njoo nikuongezee nyingine hahahaKwel Yan ukila ham inaongezeka hutam iishe unaeza maliza dozen kwa cku 1
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaahahahaahahah. Una mambo sana wewe.Atatoa yeye siyo mimi,, halafu mwishoni atamalizia hivi "asante wewe dada wa JF uliyenipa naniliu"..
Halafu unajua mie ule uzi siufuatilii kabisa eti?? Ila kila nikichungulia nakuta watu wameshusha magazeti naondoka!! Nabaki najiuliza yale magazeti yote ni ya kuwala watu kimasihara tu au kuna vingine mule ndani
Sent using Jamii Forums mobile app