Wengine wafanyabiashara Kuna watu wengine lazma umpe mzigo cash ndipo aondoke..hasa kwenye madini
Kwendana na fashen za cm utachanfanyikiwa coz Kila siku zinatoka matoleo mapya.Mkuu una pesa nyingi.Kwanini usinunue simu nzuri yenye camera bora.Ukapata picha nzuri?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asee yule mwamba anayo pesa mzee!!!Kuna picha moja kapost juzi daaah nikajiuliza Kama home anayo pesa mingi kiasi kile,bank atakua na sh ngapi!!!?Kupiga picha na hela - maana yake unapata hela kisha haui reinvest, au unatumia vibaya tell floyd Mayweather asipige picha na hela...
Mm ndo nimezinduka sasaSaa kumi na dakika kumi na mbili yote humu yamelala fofofo.
si mchezoKimekubali
Jr![]()
Wewe mrembo la ule uzi wako wa kwamba upo positive duh! tutakula kwa macho tu
Maaasha Allah. Hii inawashinda wengi
Haya bhana