Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,994
- 13,311
Kweli![emoji2958][emoji2958][emoji2958] tuvishane pete aisee we are almost identical [emoji132]
Sent using Jamii Forums mobile app
Pete huwa zinavishwa mbele ya mashahidi
What's that?
Nakufuata nimechoka na chichat humu ndani.
Mkuu una pesa nyingi.Kwanini usinunue simu nzuri yenye camera bora.Ukapata picha nzuri?
Pigeni nazo ila kumbuka kutugawia.Kupiga picha na hela - maana yake unapata hela kisha haui reinvest, au unatumia vibaya tell floyd Mayweather asipige picha na hela...
[emoji7][emoji7]PaundiVyuma vimelegezwa kidogo leo nina kalaki wallahView attachment 1297713 silali.
Ndiyo Anne.